Tag: Juventus

KOCHA MPYA WA ARSENAL KUJULIKANA HIVI KARIBUNI, WANAOTAJWA KUCHUKUA NAFASI HIYO HAWA HAPA

Klabu ya soka ya Arsenal ina uhakika wa kumtangaza meneja mpya wa timu hiyo atakayechukua mikoba ya Arsene Wenger, kabla ya kuanza kwa fainali za michuano ya kombe la dunia.

Washika mitutu hao wa London, hawajaweka hadharani lini itakuwa muda rasmi wa mwisho wa kusaka meneja mpya, lakini meneja mpya atajulikana kabla ya tarehe 14 Juni, tarehe ambayo michuano ya kombe la dunia itakuwa inaanza kutimua vumbi huko nchini Urusi.

Wenger aliyedumu katika klabu ya Arsenal kwa miaka 22, ataiongoza timu hiyo katika michezo miwili iliyosalia kabla ya kumalizika kwa ligi jumapili ya Mei 13. Continue reading

KOCHA WA JUVENTUS AMFANANISHA CRISTIANO RONALDO NA POMBE

Image result for tik tak ronaldoCristiano Ronaldo

Kocha wa Juventus, Massimiliano Allegri amemfananisha Cristiano Ronaldo na kinywaji cha mvinyo akisema kuwa kadiri umri unavyokwenda ndio anazidi kuwa mkali zaidi.

Allegri alimkubali Ronaldo baada ya kuiongoza Real Madrid kuirarua Juventus 3-0 mbele ya mashabiki wao kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, wiki iliyopita.

“Unajua Ronaldo yaani ni sawa na mvinyo kadiri muda unavyokwenda ndio anazidi kuwa bora,” alisema Allegri baada ya mchezo huo, ambao Ronaldo aliacha mashabiki wa soka mdomo wazi baada ya kufunga bao maridadi la ‘tik tak’. Allegri alisema kuwa Ronaldo amekuwa straika bora wa dunia kwa miaka miwili sasa. Continue reading

UEFA CHAMPIONS LEAGUE DRAW: LIVERPOOL TO FACE MAN CITY

Manchester City will face Liverpool in an all-Premier League Champions League quarter-final. Runaway leaders City suffered their only defeat in the league this season at Liverpool on 14 January, while Pep Guardiola’s side beat the Reds 5-0 at Etihad Stadium last September.

The first leg will take place at Anfield on 4 April, with the return on 10 April. “We take what we’ve got, let’s go,” said Liverpool boss Jurgen Klopp. City’s director of football Txiki Begiristain added: “It’s going to be a great couple of games.” Holders Real Madrid will face Italian champions Juventus – a repeat of the 2017 final which Real won 4-1 in Cardiff.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Powered by Live Score & Live Score App
403 Forbidden

403 Forbidden


nginx